• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Kilimo umwagiliaji na ushirika

KILIMO,UMWAGILIAJI NA USHIRIKA


Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika inaundwa na sehemu tatu (3) ambazo ni:-

Ø  Kilimo

Ø  Umwagiliaji

Ø  Ushirika

 Majukumu ya idara

Jukumu kuu la Idara hii ni kuhamasisha, kuboresha na kusimamia utoaji wa huduma za maendeleo ya kilimo, Umwagiliaji na Ushirika katika jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.

Ø , usambazaji wa uuzaji wa pembejeo na zana za kilimo kutoka maduka ya watu binafsi.

Ø Usimamiaji wa matumizi ya pembejeo za kilimo katika Mitaa/Kata.

Ø Kutoa elimu/ushauri wa matumizi ya mbolea na madawa, kilimo mseto, usindikaji wa mazao,  hifadhi ya udongo na matumizi bora ya ardhi, kilimo cha umwagiliaji na uzalishaji wa mazao mbalimbali ya nafaka, uyoga, mboga, matunda, miche ya matunda, miti ya kivuli na maua kwa kuzingatia kanuni bora kwa wakulima mmoja mmoja au vikundi.

Ø Kufanya tathmini kuhusu hali ya chakula  na  lishe katika Manispaa.

Ø Kusimamia, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Miradi ya Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Projects – DADPs).

Ø Kuhamasisha na kusimamia shughuli  za kilimo cha zao la korosho.

Ø Kufanya maandalizi na kushiriki maonesho ya sikukuu ya wakulima Nanenane.

Ø  Kuboresha vyama vya ushirika vya aina mbalimbali.

Ø  Kuimarisha ushirika wa akiba na mikopo.

Ø   Kutoa mafunzo na elimu kuhusu vyama vya ushirika.

Ø  wa fedha zinazotokana na upimaji wa maji katika maabara ya Idara ya Maji na ukataji wa vibali kwa wachimbaji wa visima wanaofanya kazi ndani ya Manispaa yetu.

Ø  Kupunguza na kuzuia  milipuko ya magonjwa yanayosababishwa na ukosefu wa maji safi na salama

Ø  Kusimamia vyema miradi 

Taarifa

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • JOINING INSTRUCTIONS KWA SHULE ZA SEKONDARI ZA UBUNGO MANISPAA 2023. December 28, 2022
  • SELECTION ZA KIDATO CHA KWANZA UBUNGO MANISPAA 2023 December 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 02, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC KOMBA ARIPOTI UBUNGO, AWEKA WAZI VIPAUMBELE VYAKE. DC KHERI AWAAGA WANA UBUNGO

    January 31, 2023
  • ZIARA KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI,AFYA NA ELIMU

    January 30, 2023
  • CHANJO YA SURUA KUANZA KUTOLEWA FEBRUARI 01-5-2023

    January 27, 2023
  • KAMATI YA UKIMWI YATEMBELEA TAASISI YA KULEA WAZEE

    January 27, 2023
  • Tazama zote

Video

DC KOMBA ARIPOTI UBUNGO | ASEMA HATAVUMILIA UZEMBE | DC KHERI AWAAGA WANA UBUNGO
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa