HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
MKURUGEZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KWAMBA;
HALMASHAURI YA UBUNGO INATARAJIA KUBAINI NA KUHAKIKI MAENEO YOTE YA WAZI PAMOJA NA YALIYOTUMIKA AWALI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA ZA MAJI KWA JAMII YAANI ‘PUBLIC WATER KIOSKS’ KATA YA SINZA.
KWA YEYOTE MWENYE UHALALI WA KUWEPO KWENYE MAENEO HAYO AWASILISHE VIELELEZO VYAKE KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO KWA UHAKIKI.
IMETOLEWA NA :
JOHN L. KAYOMBO
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa