TANGAZO
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA WILAYA YA UBUNGO KUWA TAREHE 31/08/2019 KUTAKUA NA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI LA ROBO YA NNE, BARAZA HILI LITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MANISPAA ULIOPO MAKAO MAKUU KIBAMBA. WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA.
IMETOLEWA NA:
UTAWALA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa