HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
TANGAZO
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO ANAWATANGAZIA WAMILIKI WOTE WA NYUMBA ZA KULALA WAGENI NA HOTEL WAFIKE OFISI ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO MAKAO MAKUU KIBAMBA CCM AU KATIKA OFISI ZILIZOPO SINZA KITUO CHA DALADALA MAWASILIANO SIM 2000
KWA AJILI YA KULIPA MALIPO YA HOTEL LEVY AIDHA MNAKUMBUSHWA KUFANYA HIVYO KILA TAREHE 01 MPAKA 07 YA KILA MWEZI BILA KUKOSA.
KINYUME CHA HAPO HATUA KALI ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA DHIDI YA WOTE WATAKAO KAIDI AGIZO HILO IKIWA NI PAMOJA NA KUWAPELEKA MAHAKAMANI.
IMETOLEWA NA :
JOHN LIPESI KAYOMBO
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa