UTARATIBU WA KUPATA LESENI ZA BIASHARA:
Leseni zote za Biashara hutolewa chini ya sheria ya Biashara Na. 25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake yaliyofanyika Juni 2004. Mwombaji wa leseni ya biashara anapaswa ajaze fomu ya maombi ya leseni TFN 211 (Business licence application form).
Leseni za Biashara zimegawanyika katika makundi mawili:-
KUNDI A: Leseni hizi hutolewa na Wizara ya Viwanda na Biashara.
Mfano:
· Uagizaji bidhaa toka nje (import licence).
· Kusafirisha bidhaa nje (Export licence).
· Wakala wa Mali (Estate Agent).
· Hotel za Kitalii (Tourist Hotel & Lodging).
· Wakala wa kupokea na Usafirishaji mizigo. (Clearing and Forwarding/Freight Forwarders) n.k.
KUNDI B: Hizi hutolewa na Halmashauri za Manispaa husika.
Mfano:
· Wakala wa Bima (Insurance Agent).
· Vipuri (Spare Parts, Machine tools).
· Maduka ya dawa za Binadamu/Mifugo
· Viwanda vidogo (Small Scale Manufacturely and selling).
· Uuzaji Bidhaa Jumla na Rejareja (Wholesale and Retail trade) n.k.
MASHARTI YA KUOMBA NA KUPEWA LESENI ZA BIASHARA:
Mwombaji awe na umri wa miaka 18 au zaidi.
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa