Idara ya uhifadhi wa Mazingira na Udhibiti wa Taka Ngumu.
Idara hii ina wajibu wa kulinda na kuhifadhi mazingira ikiwa ni pamoja na kusimamia na kudhibiti mambo yote katika Mazingira ambayo huathiri afya za binadamu ndani ya manispaa ya Ubungo.kwa uopande wa huifadhi wa mazingira idara hutathimini, hudhibiti, na kuzuia mambo hayo kwenye mazingira ambayo yanaweza kuathiri vizazi vya sasa na vijavyo.
Kwa upande wa udhibiti taka Ngumu idara inaratibu na kusimamia mchakato wa kukusanya , kusafirisha na kuhifadhi taka .Utupaji taka usiofaa huchafua mazingira na pia waweza kusababisha magonjwa.
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa