Mikopo ya vijana na Wanawake hutolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kutoka katika asimia kumi ya mapato ya ndani hili ni agizo la Serikali ili kuwainua wananchi wake kiuchumi na ni utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015 - 2020
Ili kuweza kupata mkopo huo unakiwa kwenda katika ofisi ya kata yako utakutana na afisa maendeleo ya jamii atakupatia fomu na kukueleza mashariti ya mikopo hiyo.
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa