Mkurugenzi wa Manispaa ndiye mtendaji mkuu katika shughuli zote zinazofanyika katika Halmashauri ya Manispaa
unaweza kufanya mawasiliano na mkurugenzi kwa njia mbalimbali:
a. Kuja mojamoja ofisini Kibamba CCM ambapo utauliza kwa walinzi wa nje watakuruhusu na baadaye utaonana na 'PS' wake atakupa ruhusa ya kumwona Mkurugenzi
b.kwa kutumia barua pepe ambayo ni md@ubungomc.go.tz au info@ubungomc.go.tz
c. Kwa kutumia sanduku la posta ambalo ni S.L.P 55068 Ubungo Dar es Salaam
d. Kwa kutumia Tovuti ya Manispaa ya Ubungo ambayo ni www.ubungomc.go.tz
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa