Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inakaribisha wawekezaji hususani PPP ( Public private pertnership) namna ya kufanya:
1. Unaweza kuja moja kwa moja katika ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo iliyopo mtaa wa Luguruni kata ya Kwembe
2. Unaweza kuwasiliana na Halmashauri kupitia sanduku la Posta 55068 Dar es Salaam au barua pepe md@ubungomc.go.tz, au info@ubungomc.go.tz
3. Tembelea mitandao yetu ya kijamii inayopatikana kwa jina la Ubungo Manispaa (youtube, Instagram, Tweeter, facebook)
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa