Ufugaji:
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ni miongoni mwa Halmshauri zilizoko katika miji mikubwa ambapo wakazi wake ujihusisha na ufugaji wa kisasa wa mjini lakini pia hupokea mifugo kutoka maeneo mbalimbali kwa ajili ya biashara. Kwa kuzingatia hili,Manispaa inajihimarisha katika uendelezaji masoko ya mifugo kwa kujenga machinjio ya kisasa mfano Manzese katika eneo la soko la Manzese.
Uwepo wa machinjio hayo yamesababisha kuwepo kwa mahitaji makubwa ya mifugo bora kwa ajili ya nyama na mazao mengine yatokanayo na mifugo.
Hii imesababisha kuibua fursa zifuatazo:-
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa