•Naomba niendelee kuwasistiza kuhusiana na ugonjwa wa korona kuhakikisha Kila mmoja wetu anafata taratibu na kanuni zilizotolewa na wizara ya afya ilikujilinda
•Sio amri Ila nawasihi Kama Kuna atakae hitaji chanjo muende kupata chanjo katika vituo vyetu vya afya chanjo ipo
•Pia swala la ushirikishaji wa viongozi katika kero zenu muhakikishe mnawashirikisha viongozi ili kero zenu ziweze kutatuliwa
•Swala la sensa naomba niwajulishe wananchi wa Ubungo kutambua Jambo hili ambalo limeashaanza kwa sasa, naomba mtoe ushirikiano
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa