Leo Oktoba 6, 2022 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James amemuwakilisha mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam katika ufunguzi wa maonesho ya tatu ya viwanda na biashara Mkoa wa Pwani yaliyofanyika Wilayani Kibaha
Maonesho hayo yamehudhuriwa na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye Alikua mgeni rasmi katika Maonesho hayo
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa