- Leo Oktoba 9, 2022 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James ameshiriki kwenye harambee maalumu katika Kanisa katoliki Parokia ya Mtakatifu Rita wa Kashia iliyopo Kimara Temboni
- Harambee hiyo ni maalumu kwa ujenzi wa kanisa awamu ya kwanza ambapo ujenzi huo utagharimu zaidi ya shilingi milioni mia mbili kumi na tano
- Pamoja na harambee hiyo, pia DC Kheri ametumia nafasi ya kuongea na waumini wa kanisa hilo juu ya umuhimu wa kulinda amani tuliyonayo pamoja na kuhakikisha familia zetu zinatekeleza wajibu wake vizuri wa malezi ili kutengeneza jamii ambayo haina vitendo vya ukiukwaji wa maadili kama ilivyo hivi sasa
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa