Kuelekea sherehe za miaka 61 ya Uhuru, leo Disemba 4, 2022 timu nzima ya Manispaa ya Ubungo ikiongozwa na kaimu mkurugenzi Dr. Peter Nsanya imefanya usafi wa pamoja katika eneo la Manzese Bakhresa kwa kushirikiana na wananchi wa maeneo hayoZoezi hilo pia limeambatana na zoezi la upandaji wa miti ili kuendeleza kampeni ya usafi wa mazingira na kupendezesha maeneo yote ya wilaya ya Ubungo
#ubungoyetufahariyetu
#ubungoyakibingwa
#ubungoupdates
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa