• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

HALMASHAURI YA UBUNGO YAIBUKA KINARA UTOAJI HUDUMA BORA ZA AFYA DSM

Posted on: July 20th, 2022

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia Hospital, Vituo vya Afya na Zahanati wameibuka washindi na Kupatiwa tuzo ya heshima katika utoaji wa huduma Bora za Afya Kati ya Halmashauri tano za Mkoa huo katika kipindi Cha mwaka 2021/2022.

Ubungo imeshika nafasi ya kwanza kwa kupata *alama 237* ikifuatiwa na Halmashauri ya Temeke ikiwa na alama 236 na Halmashauri ya Kigamboni imeshika nafasi ya tatu kwa kupata alama 235.

Akizungumza wakati wa kufunga kikao Cha Mwaka Cha Siku mbili kilicholenga kupata tathimini ya utendaji kazi wa sekta ya Afya Mkoa wa Dar es salaam, Katibu Tawala wa Mkoa huo Hassan Abbas Rugwa amepongeza sekta ya Afya kwa kazi kubwa na nzuri wanayoifanya katika utoaji wa huduma Bora za Afya.

Aidha *Rugwa ametoa zawadi kwa Hospital ya rufaa ya Amana kwa kushika nafasi ya kwanza Kati ya hospital tatu za rufaa kwa kupata alama 118 ambapo Hospital ya rufaa Temeke imeshika nafasi ya pili kwa kupata alama 107 hospital ya rufaa *Mwananyamala meshika nafasi ya tatu na kwa kupata *alama 102.

Pamoja na hayo Rugwa ametoa zawadi ya vyeti kwa Halmashauri zilizofanya vizuri katika kipengele Cha uandaaji wa mipango ambapo Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam imeshika nafasi ya kwanza kitaifa ya kwanza kimkoa, ikifuatiwa na *Halmashauri ya Kinondoni nafasi ya pili kitaifa na ya pili kimkoa na Kigamboni nafasi ya tano kitaifa na tatu kimkoa.

Hata hivyo Rugwa ametoa zawadi ya cheti kwa Amana Kituo Cha kuwahudumia Wagonjwa wa virusi vya UKIMWI pamoja na kwamba walifungiwa mwaka Jana Kutokana na UVIKO19 lakini bado wamefanya vizuri kuliko wengine huku akitoa vyeti kwa *Ithibati ya kimataifa ya maabara kwa Hospital ya *sinza Palestina, Hospital ya Mbagala rangi tatu, Hospital ya rufaa Temeke, Mwananyamala RRH, Amana RRH pamoja na hospital ya mnazi mmoja* ambao Wameahinda kwa Mwaka huu.

Wakati huohuo *Rugwa* ametoa zawadi kwa *Manispaa zilizofanya vizuri kwenye kipengele Cha Usafi wa Mazingira* ambapo Hospital ya rufaa Temeke imeshika nafasi ya kwanza kimkoa na nafasi ya pili kitaifa ikifuatiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni liyoshika nafasi ya pili kimkoa na nafasi ya tatu kitaifa.


Taarifa

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • JOINING INSTRUCTIONS KWA SHULE ZA SEKONDARI ZA UBUNGO MANISPAA 2023. December 28, 2022
  • SELECTION ZA KIDATO CHA KWANZA UBUNGO MANISPAA 2023 December 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 02, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAJALIWA AKAGUA MRADI WA KITUO CHA KIMATAIFA CHA KIBIASHARA MANISPAA YA UBUNGO

    April 20, 2023
  • WAZIRI KAIRUKI AWASILISHA BAJETI YA SHILINGI TRILIONI 9 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    April 14, 2023
  • DC KOMBA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO UBUNGO

    March 31, 2023
  • MADIWANI UBUNGO WAPITISHWA KWENYE MAELEZO YA MPANGO KABAMBE (MASTER PLAN) WA MKOA WA DAR ES SALAAM

    March 28, 2023
  • Tazama zote

Video

BILIONI 1.4 KUJENGA VETA MPYA KIBAMBA | DC KOMBA ATOA SIKU 10 HATI YA ENEO IPATIKANE
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa