• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMATI YA FEDHA YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO 2025

Posted on: April 17th, 2025

Kamati ya fedha Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Jaffar Nyaigesha imefanya ziara ya kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na kituo cha uwekezaji cha Afrika Mashariki yaani East African Commercial and Logistics Center (EACLC) uliopo Ubungo Jijini Dar es Salaam na kujionea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo.

Uwekezaji unaofanyika katika mradi huo uliopo Manispaa ya Ubungo una thamani ya dola za kimarekani milioni 110 na ni miongoni mwa miradi iliyosajiliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ujenzi wa mradi huo unahusisha ujenzi wa Kituo kikubwa cha biashara kitakachojumuisha maduka na ofisi 2000 na ulianza kujengwa April, 2023

Katika mradi huo wamewataka wananchi na wafanyabiashara kujitokeza kwa wingi kuchangamkia fursa ikiwemo kuchukua fremu za maduka kwaajili ya shughuli mbalimbali ambapo hadi sasa zaidi ya ofisi 1000 zimeshalipiwa na watanzania.

Miradi mingine ni ujenzi wa kituo cha Afya cha Mpoji Magohe unaojumuisha ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje, na wodi ya mama na mtoto ambayo wameagiza kasi iongezeke na ikamilike kwa wakati.

Aidha kamati hiyo pia imetembelea Ujenzi wa shule ya Sekondari Kulangwa ambayo kutokana na kusuasua kukamilika kwake wameagiza hatua za kisheria zilizochukuliwa na wataalam wa Manispaa ya Ubungo ziendelee kwani mkandarasi ameshindwa kutimiza masharti ya kimkataba.

Kamati hiyo pia imetembelea ujenzi wa Mradi wa Fremu za Maduka unaotekelezwa katika kata ya Manzese na mkandarasi Luvisa investment company limited  mbapo wameagiza wataalam kukaa na mkandarasi ili kujua alipokwama kutokana na ukweli kwamba alitakiwa kukabidhi mradi huo toka Machi 16, 2025

Kamati imeridhishwa na utekelezaji wa baadhi ya miradi ikiwemo kituo cha uwekezaji EACLC na Ujenzi wa Kituo cha Afya Mpiji Magohe na kuzidi kusisitiza uadilifu katika matumizi ya fedha za serikali kwa miradi inayoendelea na kuwataka wataalam kukamilisha kwa wakati kwa manufaa ya umma.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa