Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James amekutana kamati ya maboresho ya soko la Simu 2000 na kupokea taarifa ya mapendekezo ya mchoro wa kuboresha soko hilo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam la kuboresha soko hilo kwa kuzingatia mahitaji ya wafanyabiashara.
James amesema atakabidhi mchoro huo kwa wahandisi wa Halmashauri ili kuupitia na kutoa ushauri ili mradi uanze kutelezwa
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa