- Leo ikiwa ni Maadhimishi ya siku ya haki za binadamu duniani pamoja na kuhitimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia duniani, Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imefanya maadhimisho hayo kwa kishindo katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Ubungo
- Maadhimisho hayo kwa mwaka huu yameambatana na kauli mbiu isemayo "Utu, Uhuru na Haki kwa Wote"
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa