Leo tarehe 3,septemba,2021 Maafisa Ugani Manispaa ya Ubungo wamehitimisha Mafunzo Rejea kuhusina na mfumo wa MOBILE-KILIMO (M-kilimo) yaliyoanza Jana kwa kuendelea kupewa ufafanuzi zaidi kuhusiana na mfumo wa kusajiri wakulima na pia maswala yanayo husiana na masoko
Aidha muwezesheshaji aliwaasa wataalam wa kilimo kuhakikisha wanazingatia na kufanyia kazi Mafunzo hayo ili kuongeza weredi
Akishukuru kwa niaba ya maafisa Ugani Manispaa ya Ubungo Msafiri Barnabas amemshukuru muwezeshaji kwa kuwapa Mafunzo hayo ambayo yatawasaidia watakapokuwa na wakulima wao na kuwa chachu ya maendeleo
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa