- Leo Oktoba 31, 2022 Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa Ubungo pamoja na wataalamu wa idara mbalimbali leo wameanza ziara katika Halmashauri ya Manispaa Kahama
- Ziara hiyo ni ya kujifunza juu ya masuala makuu mawili ikiwa ni suala la ukusanyaji bora zaidi wa mapato ya Halmashauri pamoja na usimamizi mzuri wa fedha za mikopo zinazotokana na asilimia 10 za mapato ya ndani ya Halmashauri
@kahamamc_official
#ubungoyetufahariyetu
#ubungoyakibingwa
#ubungo
#ziara
#kahama
#daressalaam
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa