Kuelekea kilele ambacho mazimisho ya wiki ya USAFI yatafanyika Kimkoa TAREHE 4.12.2021 Kiwilaya itazinduliwa kesho tarehe 1.12.2021
Hivyo, Wananchi wote mnaombwa kushiriki katika uzinduzi, na maeneo hayo ni Kama ifuatavyo,
•Kata ya Goba - Goba center na Tegeta "A"
• kata ya mbezi - eneo la mzunguko Goba
• Kata ya Kimara -Kimara baruti
•Kata ya Saranga- eneo la matangini
•Kata ya Makurumla - eneo la Kagera
•Kata ya Kwembe -eneo la luguruni
•Kata ya Kibamba- Kibamba shule na Ccm
•Kata ya Mburahati- Simba oil Hadi soko la mburahati
•Kata ya Msigani- eneo la Msigani
•Kata ya Ubungo - njia panda ya Chuo Hadi kijazi
•Kata ya Manzese - Big brother mpaka midizini
•Kata ya Makubuli -kibangu barabara ya mzee wa upako
•Kata ya Mabibo - Mtaa wa mabibo
• Kata ya Sinza - eneo la mlimani city
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa