Wananchi wa Jimbo la Ubungo leo Septemba 8,2021 wamejitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya kimamba kata ya Makurumla kwa ajili ya kuwasilisha kero zao kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Amos Makalla ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa majimbo yote ya Mkoa wa Dar es Salaam.
akiongea wakati wa ziara hiyo ya utatuzi wa kero RC aliwaaidi wananchi yale yote tuliyoahidi hapa yatatekelezwa, tunataka kuwa na nidhamu yabkusikiliza na kutekeleza ahadi tunazoahidiTanesco utendaji wenu na utoaji huduma uimarishwe hasa utoaji wa taarifa
Tasaf wale wenye sifa wapate, mradi uwaguse wanaokusudiwa
Suala la chanjo idadi ya wanaochanja inaendelea kuongezeka tumieni hii fursa
Ipo changamoto katika barabara ufanyaji biashara holela Kuna ajali nyingi zinatokea kutokana kuziba barabara Hadi kwenye mwendo Kasi, zingatieni maelekezo yanayokataza kufanya biashara kwenye maeneo yasiyostahili,(. Daraja la kijazi, kwenye transforma barabara nk)
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa