Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Kibamba na Ubungo Beatrice Dominic amefunga semina ya uchaguzi kwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata zote 14 ambazo zipo katika jimbo la Ubungo na Kibamba.
Wakati akifunga mafunzo hayo Beatrice Dominic aliendelea kusisitiza na kuwakumbusha mambo muhimu ambayo yanapaswa kuzingatiwa.
Niishukuru tume ya uchaguzi kwa kuendesha mafunzo haya ambayo ni muhimu kwetu sote pamoja na wasimamizi wasaidizi wa kata zote. Alisema hayo Beatrice
Nichukue nafasi hii kuwakumbusha kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ya uchaguzi. Aliongeza Beatrice
Niendelee kusisitiza tukaishi katika kiapo ambacho wote tumeapa na tukalizingatie hili.
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa