Ujenzi unao ongozwa na Suma JKT na kusimamiwa na Uongozi wa Manispaa ya Ubungo, ikiwa ni ujenzi wa jengo la Maabara, Jengo la Utawala, Jengo la kuhifadhia Dawa, Jengo la kufulia, Jengo la Mionzi , Jengo la OPD (Jengo la wageni) na Jengo la Wazazi.
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa