Kanisa la Yesu Kristo Mtakatifu wa siku za mwisho wakimsainisha mkataba Mjenzi wa kukarabati Kituo cha afya cha Kimara.
Amepewa muda wa miezi miwili kukamilisha kazi hiyo ambapo atajenga ramp na ujenzi wa ghorofa ya pili katika kituo hicho.
Kanisa hilo limejitolea kukakarabati kituo hicho kwa maslahi ya wananchi na Serikali kwa ujumla.
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa