• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UTOAJI WA ELIMU YA CHANJO YA COVID 19 WAENDELEA

Posted on: September 30th, 2021

Katika kuhakikisha wananchi wanahamasika kuchanja chanjo ya Covid19 kwa hiari, Manispaa ya Ubungo imetoa mafunzo kwa watendaji wa Kata na Mitaa ya kuwajengea uelewa juu ya chanjo hiyo ili wakawaelimishe Wananchi waliopo kwenye maeneo yao

Akitoa mafunzo Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Jason Makanzo aliwaeleza Watendaji hao kuwa chanjo hiyo ni salama na haina madhara mabaya kiafya kama watu wengi wanavyosema

'Chanjo hii ni salama imefanyiwa utafiti na wataalamu wa Afya ndio maana Serikali imekubali itumike kama kinga ya ugonjwa wa Corona" alieleza Jason Makanzo

Jason Makanzo alieleza kuwa, habari za kusema inapunguza nguvu za kiume, damu kuganda na mambo mengine sio kweli "twendeni tukahamasishe wananchi wachanje kwa hiari ili kujikinga na ugonjwa huu ambao unahatarisha maisha ya watu wengi na kusababisha vifo"

Akiongea kwa niaba ya Watendaji hao Rosina Kimario  alisema kuwa baada ya mafunzo hayo wataenda kutekeleza jukumu la kuhamasisha wananchi katika maeneo yao juu ya faida ya chanjo hiyo ili wachanje Kwa hiari yao baada ya kupata Elimu hiyo.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC KOMBA AFANYA KIKAO NA WAKANDARASI WA TAKA, ASISITIZA UWAJIBIKAJI WA WATUMISHI WA UMMA

    November 29, 2023
  • DC KOMBA AHAMASISHA UBALOZI WA USAFI KWENYE KAU- SAPEU GOBA

    November 25, 2023
  • MPANGO WA AWALI WA BAJETI YA LISHE 2024/2025 WAFANYIKA

    November 24, 2023
  • MANISPAA YA ILEMELA YATEMBELEA UBUNGO

    November 21, 2023
  • Tazama zote

Video

MKANDARASI WA DMDP YUPO SITE | UBUNGO KUNG'ARA KWA LAMI | DC KOMBA AJA NA JENGAPAMOJ
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa