-Taasisi ya African Youth Empowernment wakiambatana na Meneja wake Ndugu Gerald Muyimba leo wamefika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James kwaajili ya kuwatambulisha baadhi ya wachezaji kati ya wachezaji 12 watakaosafiri kwenda nchi mbalimbali barani ulaya kufanya majaribio ya soka
- Wachezaji hao wamepata baraka za kutosha kutoka kwa DC Kheri pamoja na Diwani wa kata ya Msigani Mhe. Siraji Mwasha kwa niaba ya wananchi wa Wilaya ya Ubungo
- Vijana hao wanatarajiwa kwenda katika nchi za Uturuki, Georgia, Moldovia na Uingereza
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa