Walimu wa shule za sekondari Manispaa ya Ubungo wakutatana katika viwanja vya chuo kikuu Cha dar es salaam kwa akili ya kufanya Bonanza la michezo mbalimbali kwa lengo la kufanya mazoezi na kuburudika kwa pamoja
Akifungua Bonanza hilo, Afisa Elimu sekondari wa Manispaa hiyo ndugu voster Mgina amewapongeza Walimu kwa ushiriki wao na kuwasisitiza kuwa michezo ni afya hivyo watumie nafasi hiyo vizuri kuburudika kwa kucheza michezo mbalimbali.
"Natambua tunafanya kazi kubwa ya kufundisha lakini no vizuri kupata muda wa kufanya mazoezi ili kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza"
Mgina kipekee amewashukiru wadhamiji wa Bonanza hilo CRDB benki na Tigo kwa kuwezesha Bonanza hilo kufanyika ambapo Walimu wamepata fursa ya kuiutana na kufurahi pamoja.
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa