Afisa Utumishi Manispaa ya Ubungo ndugu Selemani Kateti amewataka wanafunzi wanaofanya mafunzo kwa vitendo (Field) katika Halmashauri hiyo kufanya kazi kwa kuzingatia Maadili, kanuni, Taratibu na Sheria za Utumishi wa Umma.
Kateti ameyasema hayo kwenye kikao na wanafunzi hao kilicholenga kuwapa maelekezo na utaratibu wa namna ya kuenenda wakati wote wa mafunzo wakiwa katika Halmashauri hiyo.
Kateti, amewasisitiza wanafunzi hao kuzingatia jambo lililowaleta la kujifunza na si vinginevyo , Halmashauri itawapa ushirikisno wakati wote wa mafunzo alilisitiza
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa