Wasindikaji Wilaya ya Ubungo Leo tarehe 25, novemba wametembelea Mtaa wa mabibo-Kisima kwaajili ya kuangalia kiwanda kidogo cha usindikaji kilichopo kwa Bi.Rose Romanus ambaye ni mmoja wa wajasiriamali hao ili kujifunza na kuona vifaa vya usindikaji, vifungashio, kaushio lajua na jinsi ya kusindika
Aidha Wasindikaji hao wamejifunza Uhifadhi wa bidhaa baada ya usindikaji na Mambo mengi kuhisiana na maswala ya usindikaji
Pia wamejifunza jinsi mbalimbali ya kupata vibali vya Taasisi za ubora wa vyakula Kama Tbs,Hasp kwaajili ya bidhaa watakazozizalisha kuwa za viwango vilivyo thibishwa
ReplyForward |
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa