Kamati ya huduma ya huduma za uchumi, afya na elimu manispaa ya Ubungo ikiongozwa na mwenyekiti wake Mhe Diwani Batalingaya Nicholas wa kata ya Kwembe leo imekagua miradi mitatu ya maendeleo.
Katika kata ya Ubungo imekagua maendeleo ya ujenzi wa shule ya secondari ambapo kiasi cha shilingi milioni 100 zilitolewa.
Mwisho kamati ilifika katika Zahanati ya Temboni iliyopo kata ya Msigani kuangalia maendelo ya Zahanati hiyo
Zahanati hiyo ilitengewa kiasi cha shilingi milioni 120 na hadi sasa kiasi kilichotumika ni milioni 88. Akitoa ufafanuzi wa mradi huo Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Malamba Mawili ambaye anasimamia ujenzi wa Zahanati hiyo Ndg. Franco Elias alisema mradi unatarajia kukamilika baada ya wiki
|
|
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa