Posted on: March 8th, 2023
Kuelekea kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya wanawake Duniani tarehe 8 machi, 2023 Wilaya ya Ubungo imeadhimisha siku hiyo leo tarehe 3 machi, 2023 katika viwanja vya Manispaa ya Ubungo vilivyopo Luguru...
Posted on: March 1st, 2023
Timu ya wataalamu ya Manispaa (CMT) chini ya Mkurugenzi wa Manispaa ndugu Beatrice Dominic wametakiwa kujipanga vizuri kwenye usimamiaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya Manispaa ya Ubungo...
Posted on: February 25th, 2023
Katika kuendeleza kampeni ya Safisha Pendezesha Dar es Salaam ambayo hufanyika kila jumamosi ya mwisho wa mwezi, leo Februari 25, 2023 mkuu wa mkoa wa Dar es salaam CPA Amos Makalla ameiongoza kampeni...