Posted on: June 4th, 2021
Watumishi wa sekta ya afya Manispaa ya Ubungo wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kuzingatia maadili katika kuwahudumia wananchi.
Hayo yameelezwa na Afisa utumishi wa Manis...
Posted on: June 3rd, 2021
Afisa biashara Manispaa ya Ubungo Prisca Mjema amewasihi wananchi wa Manispaa hiyo kujitokeza kwa wingi katika kituo cha mawasiliano Sim2000 kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali iki...
Posted on: May 31st, 2021
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Jaffary Juma Nyaigesha ametembelewa na Naibu Mstahiki Meya wa Mjini Zanzibar Khadija Miraji lengo likiwa ni kujifunza namna Bora ya usimamizi wa miradi,...