Posted on: December 7th, 2022
- Leo Disemba 07, 2022 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Ubungo wamefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa madarasa 81 unaoendelea ...
Posted on: December 4th, 2022
Kuelekea sherehe za miaka 61 ya Uhuru, leo Disemba 4, 2022 timu nzima ya Manispaa ya Ubungo ikiongozwa na kaimu mkurugenzi Dr. Peter Nsanya imefanya usafi wa pamoja katika eneo la Manzese Bakhresa ...
Posted on: December 2nd, 2022
Kuelekea kilele cha maazimisho ya siku ya maadili duniani ambayo kilele chake hufanyika tarehe 10 Disemba Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kanda ya Dar es Salaam imefanya mafunzo kwa vio...