Posted on: March 2nd, 2020
Manispaa ya Ubungo imeanza kutoa huduma za kitabibu katika vituo vya Afya vilivyopo katika Manispaa hiyo.
Zoezi hilo limeanza tarehe 2/3/2020 katika kituo cha Afya Mbezi Louis na litakuwa la ...
Posted on: February 29th, 2020
Tarehe 29/2/2020 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia Idara ya Afya imeadhimisha siku ya Afya (Afya day) katika viwanja vya chuo cha Ardhi.
Maadhimisho hayo yamekuwa ni kilele cha tathmi...
Posted on: February 28th, 2020
Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa LAPAZ uliopo luguruni na kufunguliwa na Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ubungo Dr. Peter Nsanya
Kikao hicho kimehudhuriwa na watumishi wa Idara ya Afya, Weny...