Posted on: May 14th, 2022
Katika kuhakikisha suala la ulinzi na usalama wa raia na mali zao katika Manispaa ya Ubungo, Wananchi kuanzia ngazi ya familia wanajilinda na kushiriki kulipa ada ya ulinzi shirikishi kwenye mitaa yet...
Posted on: May 14th, 2022
Wakazi wa eneo la Kimara suka mpaka golani sasa kuanza kupata ahueni ya usafiri wa barabara ya Suka mpaka Golani baada ya serikali kuahidi kuijenga barabara hiyo kwa kiwango cha lami.
...
Posted on: May 11th, 2022
Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 umefanya ukaguzi wa miradi mitano ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Ubungo leo tarehe 11 mei 2022. Mbio hizo zinazoongozwa na mkimbiza Mwenge kitaifa ndugu Sahili Nyazabara ...