Posted on: March 8th, 2022
Machi 08, kila mwaka Dunia inahadhimisha siku ya wanawake Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema “kizazi cha haki na usawa kwa maendeleo endelevu; tujitokeze kuhesabiwa”
...
Posted on: March 5th, 2022
Walimu wa shule za sekondari Manispaa ya Ubungo wakutatana katika viwanja vya chuo kikuu Cha dar es salaam kwa akili ya kufanya Bonanza la michezo mbalimbali kwa lengo la kufanya mazoezi na kuburudika...
Posted on: March 4th, 2022
Kuelekea maazimisho ya siku ya wanawake Duniani tarehe 8 Machi 2022, Manispaa a ya Ubungo leo tarehe 4 Machi 2022 wameadhimisha siku ya wanawake duniani kiwilaya katika eneo la Manispaa lililopo...