Posted on: January 14th, 2022
Kamati ya kudhibiti UKIMWI Manispaa ya Ubungo leo 14 january,2022 imetembelea Baraza la watu wanaoishi na VVU la Wilaya(Konga) lililopo Kata ya Msigani na kujionea shughuli zinazo...
Posted on: January 14th, 2022
Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini( TARURA) Wilaya ya Ubungo tarehe 14.1.2021 wamewasilisha rasimu ya bajeti kwa Mwaka wa fedha 2022/2023 yenye thamani ya bilioni 3.2 kwaajili ya kuboresha...
Posted on: January 5th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Amos Makalla ameipongeza Wilaya ya Ubungo kwa kuwa wa kwanza kukamilisha Ujenzi wa madarasa 151 kwa shule 21 ikiwa ni maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato Cha kwanza...