Posted on: November 16th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Kheri James Mapema tarehe 16,novemba 2021 aliongea na waandishi wa habari na kusisitiza yafuatayo
SWALA LA ULINZI NA USALAMA
•Wamiliki wa silaha wasioku...
Posted on: November 15th, 2021
Vijana 100 kutoka kata 14 za Manispaa ya Ubungo wanapatiwa mafunzo ya kutengeneza na kutumia kitalu nyumba eneo la shamba darasa lilipo Mtaa wa kibesa Kata ya mbezi ikiwa njia ya kuzalisha ajir...
Posted on: November 12th, 2021
Afisa utumishi wa Manispaa ya Ubungo Selemani Kateti amewahakikishia walimu wa shule ya Msingi Mbezi kuwa stahiki zao zinashughulikiwa Kwa kiasi kikubwa ikiwemo fedha za likizo na mapunjo ya msh...