Posted on: November 4th, 2021
-Jumla ya maeneo 285 yalibanishwa katika kata tano tu zilizotembelewa.
-Katika maeneo hayo, Manispaa inaweza kukusanya milioni 564.4 kwa mwaka.
Baraza la Madiwani la Manispaa ya Ubungo Nov...
Posted on: November 4th, 2021
Leo tarehe 04 Novemba, 2021 Wajumbe wa Baraza la Madiwani, Manispaa ya Ubungo wamepata mafunzo ya kujengewa uelewa juu ya masuala ya Maadili ya Utumishi wa Umma hususani katika ujazaji wa ...
Posted on: November 3rd, 2021
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Angelina Manila amewataka Wananchi kuacha kuvamia na kujenga nyumba kwenye mashamba au maeneo wasiomiliki kwani hali hiyo inakwami...