Posted on: September 20th, 2021
•Naomba niendelee kuwasistiza kuhusiana na ugonjwa wa korona kuhakikisha Kila mmoja wetu anafata taratibu na kanuni zilizotolewa na wizara ya afya ilikujilinda
•Sio amri Ila nawasihi Kama Kuna ...
Posted on: September 20th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Kheri James amefanya ziara katika kata ya mbezi na kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na kutatua kero za wananchi wa Kata hiyo
...
Posted on: September 18th, 2021
Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Kitila Mkumbo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo tarehe 18/9/2021 amepokea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Kituo Cha Biashara na Vifaa vya Afrika Mashariki ...