Posted on: August 14th, 2021
Ni maandalizi ya kuwapokea wanafunzi wa darasa la Kwanza na kidato cha kwanza mwaka 2022.
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inatarajia kutumia shilingi bilioni 2 fedha za mapato ya ndani kujenga na...
Posted on: August 13th, 2021
Baraza la Madiwani la Manispaa ya Ubungo limeridhishwa na kasi ya ukusanyaji wa Mapato kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30 mwaka huu Kwa kufanikiwa kukusanya asilimia 102 ya mapato ya ndani.
Madiw...
Posted on: August 11th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Kheri James amewataka wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya hiyo kutekeleza majukumu yao kikamilifu Kwa kusimamia shughuli zote za maendeleo katika maeneo ya...