Mwonekano wa barabara nane (8) zitakazojengwa Kimara hadi Kibaha mara utakapokamilika.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru akifungua jiwe la msingi kituo cha mama na mtoto Malambamawili Msigani
kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2018 katika picha akiwa katika mradi wa maji Hondogo Kibamba
Mwonekano wa ramani ya stendi ya Mbezi Luis inayotarajiwa kujengwa juni Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Manispaa Ndg John Lipesi Kayombo akiwa kibesa Mpigi magoe alipoenda kuangalia eneo la kuanzisha shamba darasa la Manispaa ya Ubungo.
Afisa wa CRDB akiwa ameshikana mkono na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John L. Kayombo katikati ni Mhe . Mstahiki Meya wa Manispaa Boniface Jacob baada ya Kusaini Mkataba kwa ajili ya kuanza rasmi mikopo ya Wanawake na vijana Kibamba CCM.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe Boniface Jacob katikati, kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa Ndg John Kayombo
na wa kwanza kulia ni Afisa wa CRDB wakisaini mkataba kwa ajili ya mikopo ya wanawake katika ukumbi wa mikutano kibamba CCM
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John L Kayombo akifafanua jambo wakati wa kusaini mkataba wa mikopo ya wanawake, vijana na walemavu kati ya Benki ya CRDB na Manispaa jana tarehe 18/04/2018 katika ukumbi wa mikutano
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori akiwa katika ziara na Diwani wa Kata ya Kimara Mhe Manota
Katibu tawala wa Wilaya ya Ubungo Ndg James Mkumbo aliyeshika Maiki akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Ubungo
Mku wa Wilaya ya Ubungo akiongea na Wananchi wa Kata ya Kimara
Mhe.Diwani Kata ya Kimara akimuonyesha DC Kisare makori eneo ambalo kwa sasa imejengwa shule ya Sekondari Kimara.
Mhe. Mstahiki meya wa Manispaa ya Ubungo akiwa katika vazi maalumu.
.
Mkurugenzi wa Manispaa na Mstahiki Meya Wakiingia katika Ukumbi wa Mikutano ulioko Kibamba CCM
.
Waheshimiwa madiwani wakiwa katika ukumiwa wa mikututano wakiomba dua tayari kwa kuanza baraza
Ndugu John L. Kayombo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo katika picha
.
Watumishi wa Manispaa ya Ubungo wakipanda mti kuonyesha umuhimu wa kutunza mazingira
Katibu tawala wa Wilaya ya Ubungo Ndg Jemes Mkumbo akipanda mti katika kuonyesha umuhimu wa kutunza mazingira .
.
Mtaalamu wa Mifugo Manispaa ya Ubungo akitoa mafunzo kwa Mtaandao wa Wafugaji UJUWA Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John L Kayombo akisaini daftari la Maombolezo la marehemu Nsonzigwa.
.
Mkuu wa Idara ya Mifugo ndg Mgonja akisikiliza kwa Makini mafunzo ya Mtandao wa Wafugaji yaliyofanyika Lapaz Resort
Mhe. Kisare Makori akimnywesha tone la chanjo mtoto mchanga kaika kituo cha afya Kimara
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo ndg John L. Kayombo katika picha akiwa kwenye moja ya kikao kazi.
Afisa Mazingira Sikujua Mwapinga akiwa na baadhi ya walimu wakipanda mti kuashiria umuhimu wa kutunza mazingira.
Baadhi ya wenyeviti wa serikali za mitaa wakiwa katika kikao ukumbi wa mikutano ulioko Kibamba CCM
Mstahiki meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe. Boniface Jacob katikati akiwa na Mkurugenzi upande wa kushoto pamoja na naibu Meya upande wa kulia.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori akitekeleza majukumu yake ya kutatua migogoro ya wananchi.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo John L. Kayombo katika picha akiwa ameshika cheti
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa