Manispaa ya Ubungo imeendeleza jitihada za kuwaelemisha wananchi wake juu ya usajili wa vikundi kupitia mfumo mpya ulioletwa na TAMISEMI
Wananchi wa Wilaya ya Ubungo sasa kuondokana na kero ya maji ifikapo Disemba 2022 utakapomailika mradi wa maji kutoka bagamoyo - Chuo kikuu Ardhi DSM ambapo mradi huo unapita katika wilaya ya Ubungo na unahusisha ujenzi wa matenki matatu ya maji (Tegeta A, Mbweni na Vikawe) pamoja na ujenzi wa vituo viwili vya kusukuma maji (Wazo na Mapinga)
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa