Huu ndo muonekano wa michoro ya 3D ya kituo cha mabasi cha Magufuli. ama kwa hakika mradi huu ni Fahari ya Ubungo, Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla
Kutokana na hali ya uhalifu kuongezeka katika jiji la Dar es Salaam na kundi linalotajwa kama Panya Road, DC Kheri amewaagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuongeza doria usiku na mchana
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Kheri James amelaani vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto na wanawake ndani ya wilaya ya Ubungo
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa