Mkuu wa wilaya ya Ubungo ameanza ziara ya siku nne ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya ya Ubungo.
Ona fahari kuwa sehemu ya maendeleo kwa kulipa Ada, Tozo na Kodi za Halmashauri.
Mhe.Innocent Bashungwa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa ametoa ahadi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara ya Mbezi kwenda Msumi kwa kiwango cha Lami katika ziara aliyo ifanya Wilaya ya Ubungo tarehe 29 May,2022.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa