Wananchi wa Wilaya ya Ubungo sasa kuondokana na kero ya maji ifikapo Disemba 2022 utakapomailika mradi wa maji kutoka bagamoyo - Chuo kikuu Ardhi DSM ambapo mradi huo unapita katika wilaya ya Ubungo na unahusisha ujenzi wa matenki matatu ya maji (Tegeta A, Mbweni na Vikawe) pamoja na ujenzi wa vituo viwili vya kusukuma maji (Wazo na Mapinga)
Huu ndo muonekano wa michoro ya 3D ya kituo cha mabasi cha Magufuli. ama kwa hakika mradi huu ni Fahari ya Ubungo, Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla
Kutokana na hali ya uhalifu kuongezeka katika jiji la Dar es Salaam na kundi linalotajwa kama Panya Road, DC Kheri amewaagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuongeza doria usiku na mchana
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa