Wananchi waipongeza Serikali ya awamu ya sita kwa kufanikisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Goba kilichotokana na Mgao wa Fedha za Tozo za Miamala Tsh.250 Mil
Mhe Innocent Bashungwa waziri wa OR TAMISEMI afurahishwa na mapokezi makubwa aliyopokelewa Ubungo. Karibu tena Ubungo.
ubungoyetufahariyetu
Wana Ubungo tunaendelea Kumshukuru Mhe. Rais wa awamu ya sita kwa anavyoupiga mwingi hadi kuteletea mfumo huu muhimu wa anwani za makazi na posti kodi wenye kuleta tija na maslahi kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa