Endelea kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii ya instagram, twitter kwa jina moja tu la ubungomanispaa
Safisha Pendezesha Dar es salaam, Ubungo tunaendelea kuupiga mwingi
DC Ubungo amewahimiza wananchi kuwa na malezi bora kwa maana ya kuzingatia makuzi bora ya watoto ili kuwa na jamii yenye watu wema na kupelekea kupunguza uharifu kwenye jamii zetu na hivyo kuwa na jamii ya watu wema.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa