Mhe Innocent Bashungwa waziri wa OR TAMISEMI afurahishwa na mapokezi makubwa aliyopokelewa Ubungo. Karibu tena Ubungo.
ubungoyetufahariyetu
Wana Ubungo tunaendelea Kumshukuru Mhe. Rais wa awamu ya sita kwa anavyoupiga mwingi hadi kuteletea mfumo huu muhimu wa anwani za makazi na posti kodi wenye kuleta tija na maslahi kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.
Endelea kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii ya instagram, twitter kwa jina moja tu la ubungomanispaa
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa